Luke 21:34

Siku Ya Mwisho Itakuja Ghafula

34 a “Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.
Copyright information for SwhNEN